Categorias Ver Todas >

Audiolivros Ver Todos >

E-books Ver Todos >

Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 3

Hisia ya Hatia Ichomayo - Sura ya 3

Sinopse

Anne Larsen, mwanahabari wa kituo cha televisheni cha TV2 East Jutland, anafuatilia kesi ya afisa kutoka Silkeborg ambaye inakisiwa aligongwa na mwenzake mbele ya nyumbani kwake. Hamu yake inaamshwa pakubwa na ajali ya moto ambayo alikuwa akichunguza kwa siri. Anaanza kuichunguza kwa karibu. Ni kwa nini Johan Boje alikuwa na shauku ya kesi hiyo? Ni kwa nini hangekubali tu ilikuwa ni ajali ya kuvuja kwa gesi?